Google PlusRSS FeedEmail

BOBY CRISTINA AFATA NYAYO ZA BABA NA MAMA YAKE NA YEYE AWA TEJA

Mtoto wa wanamuziki maarufu toka Marekani,Whitney Houston na Bobby Brown waliokua watumiaji wazuri wa madawa ya kulevya,Bobbi Kristina (miaka 18) amefuata nyayo za wazazi wake hao,coz alikutwa na kupigwa picha akitumia cocaine. Kabla ya hapo Bobbi Kristina aliwahi kutolewa kwenye mtandao,akiwa na miaka 14 tu akivuta bangi na kunywa pombe na washkaji zake.Na wengi hawajashangaa matumizi ya mtoto huyo wa madawa ya kulevya coz alikulia na kushuhudia maisha hayo na itakua ngumu kumkemea aache kwa hatua aliyofikia kwa sasa. Boyfriend wake wa zamani alitoa ushuhuda kwa kusema kuwa,kuna wakati alikua anagombana nae ili aache kutumia madawa ya kulevya lakini ikashindikana coz ilikua too much na ikabidi waachane!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging