Google PlusRSS FeedEmail

BONGO TUNES YA BUSHOKE IKO TAYARI KWA AJILI YAKO

Bendi ya Bushoke iitwayo,Bongo Tunes iko tayari ila haijazinduliwa rasmi na kwa sasa wanapiga showz za hapa na pale ili kusukuma siku. Kuna kipindi walikua wanafanya mazoezi pamoja na Imma Balisidya (mtoto wa mwanamuziki nguli wa TZ,toka Afro 70 Band....Patrick Balisidya ili waimbe nyimbo ambazo baba zao walikua wanaimba,kama Harusi,Tufurahi weekend,Kisa cha mesenja nk. Kwa sasa bendi ya Bongo Tunes inapiga kwenye sherehe mbali mbali na still wako kambini kujiandaa kuibuka rasmi!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging