Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA KUWAONGOZA BEYONCE,LADY GAGA,JENNIFER HUDSON NA WENGINE KIBAO KWENYE THE BODYGUARD


Rihanna inasemekana kuwa yuko kwenye mazungumzo ili achukue nafasi ya Whitney Houston kwenye ujio mpya wa filamu iliyotoka November 17,1992 na kutamba sana duniani iitwayo “The Bodyguard”
Mpango mzima uko hivi kwa sasa anatakiwa young female singer ambaye anafanya vizuri kwa sasa kimuziki duniani ili achukue nafasi ya Whitney Houston ambaye kwa sasa amekua bibi,kwenye movie Soundtrack hiyo ya The Bodyguard.
Mbali na Rihanna kuna wanamuziki wengine kama Beyonce,Lady Gaga,Christina Aguilera, Jennifer Hudson pia nao wamo kwenye list ya waigizaji hao.ila Rihanna inasemekana kuwa ameitolea nje offer hiyo coz kwa sasa yeye anataka ku-act kivyake na kwa sasa anataka kutoa science fiction movie yake itakayoitwaBattleship,mwakani.

This entry was posted in

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    This would have been a great starting point for Riri ili watu tuone uwezo wake before hajafanya kazi kibinafsi but kwa kua kaitolea nnje hii offer i hope and pray Beyonce takes her place.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging