Mwanamuziku na Mkali wa R & B,Shaffer Chimere Smith JR. aka Ne-Yo ametangaza kuwa yeye na New York Rapper John David Jackson wataungana kufanya new album ya pamoja.Ila kwa kwa sasa haijatangazwa kuwa project hiyo itafanywa lini,lakini Ne-Yo amesema mambo yanakwenda poa ili wakamilishe project hiyo ila Faboulous na Ne-Yo mwaka 2007 walitoa hit kali iliyoitwa Make me better iliyopata aitime ya kutosha.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








