Google PlusRSS FeedEmail

RAMA DEE AKAMILISHA ALBAMU YAKE ,NA HIZI NI SALAMU KWENDA KWA WADAU

Niaje?! Ebwana album ya Rama Dee ndo tumeimaliza hivi karibuni na sasa ndo imeshaingia mtaani..... Album inaitwa Chini ya Uvungu wa Moyo Wangu,Na yote imefanyika ndani ya studio ya Sababisha Records na nime-produce ngoma zote isipokuwa Make Up ambayo imefanywa na Pancho Latino pale B-Hits na track inayoitwa Leo ambayo imefanywa na producer chipukizi anayeitwa Safi (kwenye upande wa beat) pamoja na Rama Dee....alionesha ujuzi wake zaidi yakuimba tu (track hii alijirecord mwenyewe) Album ina jumla ya tracks 11 (kumi na moja) zikiwemo Si waoaji hao,Make Up na Nyinginezo!! Ni bonge moja ya album ya R&B Pia Rama Dee aasambaza album yake yeye mwenyewe kwa kushirikiana na wadau mbalimbali (kwa upande wa CD's Kila cd itauzwa shilingi elfu tano tu) Kwa anyehitaji Album hii apige number... 0767 26 22 23 au 0716 61 59 58 PIA CD'S ZINAPATIKANA STUDIO SABABISHA RECORDS (SINZA) MKABALA NAMLIMANI CITY! JORS BLESS C.E.O/PRODUCER/ARTIST SABABISHA RECORDS +255 (0) 654 20 55 09 +255 (0) 755 22 99 10

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging