Google PlusRSS FeedEmail

FELLA WA TMK WANAUME ACHIA SINGLE YA TAARABU

Meneja wa TMK Wanaume Family,Said Fella ambaye mwaka jana alitoka na albamu yake ya kwanza iliyotambulika kwa jina la ‘2009’,sasa ametoka kivingine kwa kutoa single ya wimbo wa Taarab iitwayo Simwachi,akimshirikisha Isha Mashauzi na recording imefanyika pande za Studio ya Poteza.
“Katika kuwadhihirishia wapenzi wangu kwamba ninaweza muziki,nimeachia wimbo mmoja wa taarabu ambao nimemshirikisha mkali wa miondoko hiyo hivi sasa hapa nchini,Bibie Isha Mashauzi,na hivyo anatoa wito kwa wadau kumuunga mkono coz ameamua kuwapa wapenzi wa burudani ladha tofauti za muziki”....alifunguka Mkubwa Fella

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging