Google PlusRSS FeedEmail

WYCLEF SHOT DURING HAITI VISIT

Wyclef Jean amekimbizwa hospitali baada ya kupigwa risasi ya mkononi,Mapema Msemaji wa Wyclef Jean alisema kuwa tukio hilo lilitokea Port-Au-Prince,Mji Mkuu wa Haiti,na wakati tukio hilo linatokea mwanamuziki na mwanasiasa huyo  alikuwa na mwanamuziki mwenziwe Busta Rhymes na Producer wake Jimmy Rosemond wakati wa usiku wa mkesha wa uchaguzi  wa Rais (Jumamosi kuamkia Jumapili)  na Wyclef alifunguka kwa kusema kuwa baada ya kushuka toka kwenye gari  lake alisikia mlio wa risasi,na baadaye alishtukia tu damu ikichuruzika kwenye shati lake na kwenye viatu.na hajui ni nani aliyefyatua risasi hiyo wala kama yeye ndiye alikusudiwa au alipigwa kwa bahati mbaya.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging