Movie ya aliyekuwa mwanamuziki wa Hip Hop hayati 2 Pac Shakur inatarajiwa kuanza kutengenezwa hv karibuni kwa sasa waandaaji wanatafuta actor ambaye ataweza kama Rapper huyo
Waandaaji kwa sasa wanafanya usaili online,kwa ajili ya kutafuta mtu anakayefanana kwa ukaribu na 2 Pac,na anayetaka kushiriki anatakiwa atume video ya dakika 5 na humo ndani kuwe na dakika moja akiwa amena-perform akitumia wimbo wa 2 Pac Shakur
Kwa sasa location kadhaa zimefikiriwa kama Los Angeles,New York, Las Vegas na Georgia na nyingine nyingi zimechaguliwa kwa ajili ya shooting ya movie hiyo itakayohusu maisha ya 2 Pac aliyefariki September 13, 1996