Kumbu kumbu ya miaka 12 tangu kifo chA Raymond Rogers aka Freaky Tah, huko marekani ,Rapper huyo alifariki March 28,1999 toka kundi la Lost Boyz akiwa na Mr cheeks,Pretty Lou na DJ Spigg Nice
Kifo chake kilitokea wakati Freeky Tah akitoka kwenye Birthday party ya Member mwingine toka Lost Boyz,Mr Cheeks na alipigwa risasi kichwani wakati anatoka kwenye party iliyofanyika Sheraton Hotel.
Freeky Tah alikimbizwa hospitali ya karibu iitwayo Jamaica Hospital na iliropotiwa kuwa amefariki,Na Baadaye jamaa anayekwenda kwa jina la Raheem Fletcher,alihusishwa na kifo hicho na kuhukumiwa kifungo cha miaka 7 jela.huku Kelvin Jones ikidaiwa ndio muuaji.