50 Cent anajipanga kufungua tawi la G-Unit Records & Entertainment nchini Uingereza. 50 Cent atafungua ofisi hiyo kwa kushirikiana na kampuni iitwayo PIAS Group.Na ofisi hiyo itakua chini ya DJ Dan Greenpeace, ambaye ni maarufu sana nchini humo. PIAS ni moja ya music labels kubwa sana barani ulaya,ambayo ilianza mwaka 1982 chini ya Kenny Gates na Michel Lambot.So G-Unit watafaidika sana kwanza kujitangaza barani ulaya,
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








