Rappers wawili toka Ukoo Flani Mau Mau wameibuka wapili kwenye tunzo za Ufaransa aka Afros Pepites French Competition Award kama ni celebrates African talent.
Gas Fyatu na Black Gzas walikua kwenye kundi la East African Music, na mshindi alikua ni Msanii wa Afro Funk toka Visiwa vya Comoro aitwaye Mounawar.
Pia kuna single iitwayo Don’t Give Up ,ambayo ipo kwenye collabo album ambayo Watengwa toka Tanzania,Hip-Hop Crew King Dave toka Rwanda,na Fleet Militanttoka Nigeria.
Collabo album inaitwa Rising Spirit Connection imeshakuwa-released mkoani Arusha., na project nzima ilikua inahusu muungano wa vijana toka nchi mbali mbali na jinsi ya kuchanganya tamaduni zao za mziki wa asili na muziki wa kisasa.