Girlfriend wa Justin Bieber,Selena Gomez maisha yake yako hatarini baada ya kupokea vitisho toka kwa fans wenye wivu kupindukia wa Justin Bieber,ikiwa ni mwezi tu tangu Justin Bieber alipomtambulisha rasmi Selena kama 'demu' wake.
Selena amepokea vitisho vya kuuwawa toka kwa fans hao kupitia account yake ya twitter,na una wakati hata kim kardashian naye alitishiwa maisha baada ya kuhusishwa kuwa ana uhusiano na justin bieber.
Hasira zaidi toka kwa fans wa Bieber zilianza pale picha za yeye na Selena kuvuja kuonekana wako holiday pande za St.Lucia, wakiwa wamekaa kimalavi-davi zaidi