Google PlusRSS FeedEmail

KATIKA TUNZO ZA AFRICA MOVIE AWARDS FILAMU YA NANI IMEINGIA KATIKA KINYANG"ANYIRO ZA TUNZO HIZO

Filamu ya Nani ambayo ilishinda katika tuzo bora nchini Ujerumani imezidi kufanikiwa kama ni filamu bora baada ya kufanikiwa kutoka nchini Tanzania kuingia katika tuzo zinazojulikana kama African Movies Academy Awards (AMAA) filamu hii itakuwa moja ya filamu ambazo zitagombea tuzo kwa mwaka huu wa 2011.Tuzo hizi za AMAA kwa mwaka huu zinatarajia kufanyika nchini Afrika Kusini na kushirikisha filamu kutoka sehemu mbalimbali za Afrika, hii itaweza kuitangaza nchi ya Tanzania katika tasnia ya filamu ulimwenguni kwa filamu hii ya Nani kushiriki katika tuzo hizo ambazo kwa sasa zimezidi kuwa maarufu barani Afrika.
Tuzo hizi za AMAA kwa mwaka huu zinatarajia kufanyika nchini Afrika Kusini na kushirikisha filamu kutoka sehemu mbalimbali za Afrika, hii itaweza kuitangaza nchi ya Tanzania katika tasnia ya filamu ulimwenguni kwa filamu hii ya Nani kushiriki katika tuzo hizo ambazo kwa sasa zimezidi kuwa maarufu barani Afrika

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging