Google PlusRSS FeedEmail

SOKO LA FILAMU ZA NYUMBANI LAZIDI KUONGEZA WIGO WA MAUZO WA FILAMU ZETU

Filamu ya kutisha ya kwanza kutengenezwa katika ubora wa hali ya juu kutoka kampuni ya filamu ya Pilipili Entertainment ya jiji Dar es Salaam imeripotiwa kufanya vizuri sokoni kwa muda mfupi tu toka kuwepo sokoni imebainika, filamu hii toka imeingia sokoni imekuwa ikiuliziwa na kila mpenda filamu kiasi cha kuwapa zoezi wauzaji wa filamu hasa pale inapokuwa wateja wanahitaji wauziwe kwa haraka hata bila kujali foleni itakayokuwa katika duka husika.

Filamu hii ya nani imewashirikisha wasanii nyota kama vile Mzee Chilo Issa Mussa (Cloud 112), Baby Madaha na wasanii wengine nyota kibao, filamu hii inasifiwa na wapenzi wa filamu kwa teknorojia iliyotumika .House No. 44 imetayrishwa na kampuni ya Pilipili Entertainment 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging