Msanii wa kike toka TZ,Khadija Shaaban aka K-Sher ameolewa kwa siri....amejifungua mtoto wa kiume mwenye umri wiki kadhaa sasa tangu alione jua la bongo.
K-Sher aka Mama Jam Key alifunguka “Kwanza namshukuru Mungu kwa kujifungua salama na kuweza kubeba dhamana ya kuitwa mama,hii itanifanya nizidi kujituma katika maisha yangu ili mwanangu aweze kuishi maisha mazuri hapo baadaye”
Mara ya mwisho K-Sher aling'ara kwenye wimbo wa Bado Tunapanda akiwa Kundi la Tip Top Connection toka pande za Manzese-DSM,ila alisema pamoja kuitwa mama,bado ataendelea na kazi yake ya sanaa na japo alipotea kitambo na hakusikika kwa muda mrefu.