Rapper Shawntae Harris aka Da Brat ameachiwa toka jela,baada ya kutumikia kifungo cha miaka 3 jela kwa kosa la kuhusisha kwenye ugomvi iliotokea kwenye Halloween party,Studio 72 nightclub.
Tukio hilo lilitokea pande za Atlanta-Georgia mwaka 2007 baada ya kumpiga mwanamke mmoja na chupa kichwani.
Mmliki wa So So Def,Jermaine Dupri alitupia kupitia mtandao wa Twitter kuwa. “Happy day for me and all So So Def fans,Da Brat is finally home”
Kwa sasa Da Brat yuko studio na Bosi wake toka So So Def,Jermaine Dupri aka JD wakipika vitu vipya...Hope soon tutasikia toka kwake!