Martins Okey Justice aka J Martins amefunguka na kuhusiana na maisha yake na ya kimuziki kwa ujumla.
J Martins anasema kuwa kitu kibubwa ambacho hatoweza kukisahau kwenye maisha yake ya muziki ni jinsi baba yake alivyotaka kumuua,kwa kua alikua ha-support mziki wake na kutaka kumuua kabisa kwa kumpiga risasi,coz alikua ni mwanajeshi mstaafu.
Kufuatia kitendo hicho J Martins alikua anamuona kama baba yake ni adui kwa kipindi hicho,ila kwa sasa ameona ukweli kuwa alikua anamlinda ili asipotoke na awe na maisha mazuri.