Google PlusRSS FeedEmail

TRAILER YA FILAMU YA 50 GUMZO KITAANI

Trailer ya filamu ya  50 Cent aliyoicheza mwaka jana   2010 filamu hiyo iliyopewa jina  Things Fall Apart imeshaanza kuoneka kitaani.
Huom ndani 50 Cent alipungua kilo 25 wakati anacheza  filamu  hiyo Things Fall Apart,ambayo 50 amecheza  kama University of Michigan football player
50 Cent ameizungumzia filamu hiyo na kusema kuwa ni changamoto kwake na aliyempa moyo wa kucheza filamu  hiyo ni rafiki yake aitwaye Charles Pringle,ambaye alikua mwanamuziki na muigizaji  na alikufa kwa kuugua ugonjwa wa cancer (saratani)

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging