Google PlusRSS FeedEmail

UJAUZITO WA CINDY WAMLETEA SHIDA

Mwanamama Cindy Jina kamili Cinderella Sanyu toka Uganda,amelipatwa na maumivu ya tumbo na kukimbizwa Clinic pande za Kololo kwa uchunguzi zaidi.Chanzo habari kinasema kuwa mwanamama huyo maumivu aliyoyapata ni kutokana na ujauzito aliokuwa nao.. ila imesemekana kuwa muda mfupi baadae aliruhusiwa kwenda nyumbani na kuendelea na shughuli zake za kujenga taifa lake la Uganda, kwa sasa Mwanamama Cindy ana ujauzito wa miezi 5 ,Ujauzito ambao unasemekana ni nwa mpenzi wake wa muda mrefu ,ambaye inasadikika ana asili ya Italy ambaye anajulikana kama Mario Brunette wawili hao wana tarajiwa kupata mtoto wao huyo mwezi July 2011 na wanatarajiwa kufanya harusi ya siri baadaye mwaka huu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging