Reggae Legend toka Jamaica,Mark Anthony Myrie aka Buju Banton amekutwa na hatia na anakabiliwa na kifungo cha miaka 15 years jela.
Buju Banton (miaka 37) alikutwa na hatia chini ya jopo la majaji 12 wa huko Florida,baada ya kukamatwa na kilo 5 za Cocaine December 2009 jijini Florida-Marekani
Majaji walioneshwa video ya Buju Banton akitumia Cocaine,siku 2 kabla ya washirika wake kukamatwa wakinunua Cocaine toka kwa askari kanzu na baadaye Buju Banton alikamwatwa akiwa nyumbani Miami.
Album ya Buju Banton yake iitwayo Before the Dawn aliyoitoa mwaka jana,2010 ilishinda the Best Reggae Albam kwenye tuzo za 53 za Grammy za mwaka huu 2011.