Mwaka jana Atrist toka Kenya,DNA alitishia kuishitaki Benki ya KCB kwa kuchukua wimbo wake wa Banjuka na wao kuutumia kwenye promotion ya account kwenye TV na Radio na kuiita Bankika Tu!Je amesitisha shauri lake hilo ama ?endelea kufuatia maana moshi umeanza kufika huko Kenya?