Mkali toka pande za Ilala,Dully Sykes amedhamiria kuwa huenda akaishitaki kampuni moja ya simu nchini Tanzania kwa kuuchukua wimbo wake mpya unaopata airtime ya kutosha kwa sasa Afrika Mashariki,Bongo Flava na kuutia kwenye caller tunes zao bila ridhaa yake! Dully alifunguka "Nashanga jamaa wa (jina kapuni) wameuchukua wimbo wangu bila ridhaa yangu na kuuweka kwenye caller tunes zao,na wakati wao wataingiza mkwanja mi sipati kitu,na mimi nimejisajili pamoja na track yangu kwa vyombo vinavyohusika kama ni mmiliki halali wa wimbo wa Bongo Flava,na yoyote atakayeutumia bila ridhaa yangu anavunja sheria"
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.