Rihanna amemzungumzia mpenzi wake wa zamani Chris Brown kwenye interview na jarida la Rolling Stone hivi karibuni,ambapo mwanadada huyo picha yake iko katika ukurasa wa mbele katika jarida hilo..
Rihanna ameweka bayana kisa chote kilichomfanya kupigwa na mpenziwake huyo siku ya usiku wa tuzo za Grammy mwaka 2009,na kusema kuwa baada ya ugomvi huo aliamua kujificha asionekane wala hakutaka watu wamuone analia na kujisikia vibaya na ulikua ni wakati mbaya zaidi kwenye maisha yake.. na kufunguka zaidi kuwa rihanna hajawasiliana na Chris Brown,Long time kitambo na hana mpango wa kuwasiliana nae kwa kipindi kijacho na kusema kuwa hadhani kama wataongea kwa kipindi kilichobaki maishani mwake