Google PlusRSS FeedEmail

BIRDMAN AMKANA SOULJA BOY

Baada ya De Andre Cortez Way aka Rapper Soulja Boy Amesema hivi karibuni kuwa alikutana na Cash Money CEO Bryan Williams aka baby akaBirdman kuwa huenda akafanya maamuzi mengi baada ya deal yake na Interscope kuisha,so watu wengi walikua wanavumisha kuwa Cash Money CEO,Birdman anataka kum-sign kwenye label ya Cash Money...Birdman amefunguka na kukataa habari hizo na Birdman alitupia kwenye twitter account yake kuwa,alipokutana na Soulja Boy hajaongea deal kama hiyo na hizo habari ni za uongo na uzushi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging