Katika hali ambayo mpaka sasa ni gumzo kubwa katika tansia ya muziki wa kizazi kipya,Mwanamuziki Juma Nature amefanikiwa kuwarudisha wasanii wenzake wawili ambao walikuwa katika himaya moja hapo kitambo kidogo,katika familia yao iliyokuwa inajulikana kama Tmk wanaume..Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii ni kwamba wasanii jao wawili wamerudi kundini mara baada ya kukaa na kuafikiana na kuamua kuongeza nguvu kwa nia ya kurudisha heshma ya kundi hilo..kwa mujibu wa INSPECTOR HAROON yeye amesema ameamua kurudi katika kundi hilo kwa ridhaa yake mwenyewe naye K-R Amesema yeye ametoka katika familia yake na kujiunga na familia ya Nature,kwa kufuata maslahi...Je wataweza kurudisha hesma na wapenzi wa muziki wao?
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.