Google PlusRSS FeedEmail

KESI YA WEMA NA BOB JUNIOR YAFIKIA PATAMU

Mrembo aliyetwaa Taji la Miss Tanzania 2006/07, Wema Abraham Sepetu (pichani), alipandishwa kizimbani Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, Dar es Salaam kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kumkashifu Mtayarishaji wa Muziki, Raheem Rummy Nanji Mwite  Bob Junior au Rais wa Masharobaro na kumwambia atamkodia wahuni..wamfunze adabu...Wema alisomewa makosa mawili ambapo la kwanza ni kumtukana matusi ya nguoni Rais wa Masharobaro na la pili kumwambia atamkodia wahuni wamfanyie kitendo ambacho hakiwezi kusemwa kabla ya watoto hawajalala!
Hakimu huyo aliahirisha kesi hiyo hadi Mei 18, mwaka huu itakapotajwa tena mahakamani hapo na kusema dhamana iko wazi ambapo mdhamini alitakiwa kuweka dhamana ya shilingi 300,000 za Kitanzania



Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging