GAGA AFANANISHWA NA MNYAMA
Mwanamuziki mwenye vituko vingi Lady Gaga amefananishwa na mnyama baada ya kuvaa mavazi yaliyofanana na mnyama. Gaga alivaa hivyo wakati alipokwenda katika Hoteli ya Skt.Petri ambapo alikwenda kwa ajili ya kupata burudani
Gaga wakati anatoka kwenye Hoteli hiyo jijini Copenhagen , Denimaki alishangaa kukuta mashabiki wengi wanamsubili njee kumuona , wengine walifananisha mavazi hayo aliyovaa na mnyama jambo ambalo lilimuongezea umaarufu nchini humo