Rais Barack Obama ameamua kufunguka na kutoficha hisia zake juu ya muigizaji nguli nchini Marekani Clint Eastwood. Katika mahojiano yaliyochapishwa mwishoni mwa wiki hii Obama alisema ni shabiki mkubwa wa mwigizaji huyo mkongwe nchini na amekuwa akimfwatilia kwa miaka mingi
“Nampenda sana muheshimiwa Eastwood nasema kuwa yeye ni muigizaji kubwa na ,murugenzi bora zaidi kwa upande wangu” alisema
Rais pia alikataa kujibu kama alikuwa na mashaka na hotuba ya Clint aliyoitoa wiki iliyopita na kusema kuwa “kama urais hapo ni mashaka napaswa kuchagua taaluma nyingine”
Jibu aliyolitoa kiongozi huyo wa Marekani inaonyesha kuwa sasa Obama anataka kuangalia kitu kingine cha kufanya baada ya miaka mitano yake ya kuwa rais wan chi hiyo kubwa duniani