WAKUVANGA AGEUKIA MUZIKI
Msanii maarufu wa vichekesho kutoka kundi la Orijino Komedi Wakuvanga naye amejitosa kwenye muziki. Msanii huyo ambaye amekamilisha albam yenye nyimbo tisa na kutengeneza video zake katika albamu alioipa jina la Kato
Alitaja baadhi ya nyimbo katika albamu hiyo kuwa ni Angwisa, Ndoa, Anacheza, Analia na Viatu sio watu. Akiongea mwisho mwa wiki aliwataka mashabiki wake waipokee albamu hiyo
Msanii huyo ambaye amefwata nyayo za wasanii wenzake watatu wa kundi hilo Joti, Mpoki na Masanja ambaye anaimba nyimbo za Injili