Google PlusRSS FeedEmail

JESUS APANIA KUFANYA KWELI





Mwimbaji maarufu nchini ambaye anafanya kazi na bendi ya FM Academia, Ibonga Katumbi ‘Jesus’ amesema katika onesho la ‘Usiku Wa Sauti na Marafiki wa Kweli’ wanataka kuweka heshima katika tasnia ya muziki nchini

Akizungumza jijini Dar es Salaam Jesus alisema onesho hilo litaonyesha kiwango chao kipo katika nafasi gani na pia mchango wao katika kukuza muziki wa Tanzania

“Katika muziki wa vijana ukiacha kina Mzee King Kiki, Kasongo Mpinga , Msondo Ngoma na Sikinde Diamond Sound iliweka historian a kufungua tena ushindani wa muziki kwa vijana na ramani iliyochorwa ndio leo inatumiwa na mabendi mengine” alisema

Jesus alisema hayo katika ukumbi wa New Silent Club wakati Diamond Sound ikiwa moja ya bendi iliyoweka historia ya kupandisha kiingilio ili kupunguza idadi ya watu ukumbini, lakini badala yake watu wakawa wanaongezeka kila siku

Mwimbaji huyo ambaye anatamba na wimbo wa ‘Fadhila kwa mama’ na ‘Mugheni’

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging