BEYONCE AVAA HERENI ZA OBAMA
Kama umeipenda basi chukua hereni uvae, hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana nakitendo kilichofanywa na Beyonce kuvaa hereni zenye jina la Rais wa Marekani Barack Obama
Beyonce kwa sasa ameonekana kushika kasi kumpigia kampeni Obama kama alivyofanya miaka mitano iliyopita
Mwanamuziki huyo ameonekana hivi karibuni akiwa amevaa hereni hizo za dhahabu ambazo teyari zishakuwa maarufu nchini humo,hereni hizo zimebuniwa na mwanamitindo anayemiliki sonara inayoitwa Puerto Rican,Erika
Baada ya kuvaliwa na Beyonce tayari Erica ameamua kupandisha bei ya hereni hizo pia kwa sasa zinatakiwa katika nchi za Uingereza, Switzerland, Chile na Argentina