Google PlusRSS FeedEmail

WILL SMITH KUJA NA UJIO WA SUMMERTIME SEHEMU Y A PILI



Msanii mwenye vipaji lukuki Will Smith wiki hii aliwaacha hoi mashabiki wake baada ya kukamata 'mic' na kuimba vibao mbalimbali

Smith alifanya tukio hilo wakati akisherehekea miaka 40 ya kuzaliwa iliyofanyika katika klabu ya Gabrielle Union's

Smith alionekana kuwakumbusha waliowengi enzi za miaka 1991 wakati mkali huyo alipokuwa akifanya kweli katika fani hiyo kabla ya kuipa kisogo

Smith akishirikiana na mkongwe Doug E. waliimba miondoko huru kabla ya kugeukia wimbo wa Summertime na nyingine

Smith alionekana bado yupo fiti katika miondoko ya kufokafoka ambapo aliwaambia mashabiki wake wakae wakisubiri 'summertime' sehemu ya pili

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging