Naamini kabisa kuwa ushindi nilioibuka nao katika filamu ya Chungu kunifanya mshindi umeng’arisha nyota yangu na kila mtayarishaji kuniona na kuingia mikataba kwa ajili ya kufanya kazi nami, ni furaha kubwa sana kupata kazi baada ya matunda ya filamu ya Chungu kuwa filamu Bora na mimi mhusika mkuu kuibuka muigizaji bora wa kiume kwa mwaka 2011,”anasema Masinde. amekuwa ni mwigizaji bora na kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Jacob Stephen ‘JB’ ambaye ndio alikuwa mshindi wa kiume kwa mwaka uliopita tuzo ambazo utolewa na ZIFF kila mwaka, filamu ya Chungu imeandaliwa na Mhadhiri wa Chuo kikuu Dr. Vicensia Shule na kutengenezwa na kampuni ya Shule & Co,Ltd ya jijini Dar es Salaam.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.