NICKI MINAJ,CASSIE WATOA VIDEO BALAA
Nicki Minaj ametoa picha zilizopigwa wakati akirekodi video ya wimbo wake 'The Boys' alioshirikiana na Cassie
Rapa huyo aliandika ujumbe wake ukurasa wa Twitter akiwauliza mashabiki wake ambao mwenyewe hupenda kuwaita 'Barbz' kama wanataka kuona picha zake wakati akirekodi video hiyo
"Barbz, mnapenda kuona picha kutoka katika vaideo ya 'The Boys'?" Nicki aliwauliza mashabiki wake kabla ya kutuma picha ambayo inamuonyesha kichwa chake kikiwa katikati ya miguu ya Cassie
"The Boys" ni Single ya kwanza kutoka katika albamu ya 'Pink Friday; Roman Reloaded-The Re Up'itakayo toka Novemba 19