KEYSHIA COLE ASHUSHA MVUA
Katika kasha la single yake ya pili ya 'Trust and Believe', Keyshia Cole amefanya mvua inyeshe
Nyota huyo wa kipindi kipya kinachoonyesha maisha yake halisi cha 'Keyshia & Daniel Family First' katika televisheni ya BET, ameonekana katika picha ya kasha hilo akiwa amevaa gauni jeupe na viatu vya mchuchumio picha ambayo imechukuliwa kutoka katika video yake mpya
Wimbo huo utaanza kupatikana katika Tunes Ocktoba 22 na utakuwepo katika albamu yake mpya ya tano ya 'Womann to Woman itakayoingia mtaani Novemba 19