Siku ya jana usiku zile tuzo kubwa kabisa za nchini Kenya ambazo zinafananishwa na Tuzo za Kimataifa kama MTV Awards, KORA Awards, Channel O Awards zimeweza kutoa washindi watakaochuana kwa mwaka huu 2012. Huku washindi wakitarajiwa kutangazwa November 2 at KICC.
Tuzo za Kisima Music Awards zimeingia katika msimu wake wa kumi ambapo mwaka huu zitakuwa na Categories 12. Chakufurahisha ni kuwa wasanii wetu wa chini wameweza kuwa wengi kwenye Category ya Best East East African Recognition Award ambapo imeingiza wasanii 4 kati ya saba 7 ikiwa nafasi 2 zimechukuliwa na Uganda na moja ni ya Sudan Kusini.
Wasanii wetu watachuana kwenye kinyang’anyiro hicho ambapoDiamond Platnumz anawania tuzo hizo na single yake ya mawazo,Professa Jay na single yake Kamiligado, TMk Wanaume Family na Kichwa kinauma huku mwanadada Lady Jay Dee aliyetangazwa kama Queen wa Bongo Flavour na Mtandao wa MSN naye ameingia kwenye category hiyo na single yake ya Wangu aliyomshirikisha Mr.Blue.
Hii ndio List nzima ya Nominations za Kisima Music Awards 2012:
Artist of the Year
1. CampMulla
2. Nameless
3. Daddy Owen
4. Nonini
5. Octopizzo
6. Emmy Kosgei
The winner in this category will walk away with Sh2 million (US$22K)!
Best Hip Hop Artist
1. Mafans – Cannibal
2. Prep – Xtatic
3. On Top – OCTOPIZZO
4. Swahili Shakespeare – Rabbit
5. Colour Kwa Face – Nonini
6. Exponential Potential – Juliani
Best Collabo of Year
1. Don’t Want To B Alone – Ay ft Sauti Sol
2. Make u Dance – Keko ft Madtraxx
3. Mpita Njia – Alicios ft Juliana
4. Mbona – Daddy Owen ft Denno
5. Gentleman – P Unit ft Sauti Sol
6. What You Like – Longombas ft Mr. Vegas
East African Recognition Award
1. TMK – Kichwa Kinauma (TZ)
2. Jackie Chandiru – Golddigger (UG)
3. Lady Jaydee ft. Mr Blue – Wangu (TZ)
4. Profesa_Jay – Kamiligado (TZ)
5. Chameleone – Valu Valu (UG)
6. Diamond – Mawazo (TZ)
7. Dynamq – Jere Jere (Southern Sudan)
Music Video of the Year
1. Nameless – Coming Home
2. Rabbit – Swahili Shakespeare
3. Juliani – Exponential Potential
4. Daddy Owen – Mbona
5. Nonini – Colour kwa face