Siku ya jana mtandao mkubwa Duniani kwa jina la MSN uliweza kutangaza majina mawili ya wasanii wa Tanzania kama ndio bora zaidi kwa kuwapa vyeo cha King na Queen of Bongo flava.
Mtandao huo uliweza kumtaja msanii Naseeb Abdul Diamond Platnumz kama King of Bongo Flava na Lady Jay Dee naye ametajwa kama Queen of Bongo Flava. Diamond kupitia His Official Website aliweza kuonyesha furaha aliyonayo baada ya kutangazwa kama King of Bongo Flava kwa kupost hivi: