Google PlusRSS FeedEmail

PENZI LA KINDA LAMCHANGANYA CHERYL




Kinala wa kundi la Girls Aloud Cheryl Cole, ameendelea kutesa na mpenzi wake mpya Tre Holloway baada ya juzi kuonekana wakiponda raha

Cheryl na Holloway walikuwa katika ziara la kundi hilo jijini London pia walikuwa kwenye mgahawa wakati mwanamuziki huyo alipokuwa akihojiwa katika matayarisho ya kipindi cha Alan Carr

Baada ya kumliza kurekodi kipindi studio, wapenzi hao walikwenda kupata chakula cha usiku na muda wote walikuwa na tabasamu

Cheryl (29) na Holloway ambaye ni mnenguaji wake katika kundi hilo umepamba moto tangu zilipoibuka tetesi kuwa ni wapenzi

Hata hivyo mama wa Holloway aliwahi kusema anahofu na mwanawe anaweza kuingia katika matatizo ya uhusiano kwa madai kuwa Cheryl ni maarufu na aliwahi kuwa mke wa mtu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging