WANAONICHAFUA HAWANA KAZI YA KUFANYA
Mwigizaji Jacquline Wolper amesema anawashangaa baadhi ya watu wanaounda mbinu mpya kila siku kwa ajili ya kumchafua na kudai kuwa hiyo ni dalili ya kukosa kitu cha kufanya
Alisema hayo kutokana na kuzagaa kwa habari mbaya dhidi yake ikiwemo kuachana na mpenzi wake kunyang'anywa gari
Alisema wanaoeneza habari hizo mbaya dhidi yake wangefanya hivyo katika maendeleo wangekuwa mbali, kuliko kujadili habari zake wakati haziwasaidi kitu