SISTER MARY YA RAY IPO JIKONI
"Baada ya sinema ya Oman of Principels kufanya vizuri sokoni sasa ni wakati wa sinema bora kuingia mtaani"anasema Ray au unaweza kumuita Vincent Kigosi
Anasema filamu hiyo iliyobatizwa kwa jina la Siister Mary itakuwa bora kutokana na utofauti na filamu zote alizowahi kutengeneza
"Sister Marry ni sinema yenye story ya kipekee, kama kawaida ya Kampuni ya RJ Company hufanya kazi zenye kiwango ch hali ya juu, na kujua lini mzigo huu utatoka nitawataarifu kwani ndio tupo jikoni tukiutayarisha " anasema