SHARO MILIONEA AMEZIKWA SHAMBANI KWAO
Kwa habari zilizotufikia hivi punde msanii Sharo Milionea ameshazikwa nyumbani kwao katika shamba lao, asilimia kubwa ya watu wamehudhuria katika mazishi hayo wakiwemo viongozi wa serikali
Nape Nauye kiongozi wa CCM naye amehudhuria mazishi hayo pamoja na wasanii wa bongo movi na waimbaji wa bongo fleva
Kwa mujibu wa dokta alieleza kuwa marehemu Sharo Milionea ameumia sana sehemu za kichwa hali iliyosababisha kupoteza maisha yake