Google PlusRSS FeedEmail

AKUDO KUIMARISHA SAFU YA UNENGUAJI




Baada ya kuongeza baadhi ya wanamuziki kwenye idara nyingine uongozi wa bendi ya Akudo Impact umesema sasa unaelekeza nguvu zake katika kuimarisha safu ya ushambuliaji wa jukwaa

Kwa mujibu wa meneja uhusiano wa bendi hiyo Ramadhani Pesambili kwa sasa Akudo inawaimbaji wa kutosha na wapiga vyombo wa kutosha hivyo haina mpango wa kuongeza wengine

Kilichobaki kwa sasa ni kuimarisha safu ya ushambulizi wa jukwaa yaani kuongeza wanenguaji watatu wa kike wa hapa bongo ili waungane na wenzao waliopo kwa sasa

"Kwa sasa tunao watano tunataka kuongeza watatu ili wafike nane ambao nina uwakika kwamba ujio wao utaongeza nguvu na kuifanya Akudo iendelee kuwa na makali zaidi" alisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging