MUIGIZAJI MAHARUFU WA NIGERIA AMEFARIKI DUNIA Posted on by Unknown Mcheza filamu maharufu wa huko Nollywood Nigeria amfariki Dunia mapema jana huko New Delhi Nchini India,ambako alikwenda kwa ajikli ya matibabu...muigizaji huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi zaidi ya mwaka mmoja sasa ..