BREAKING NEWS:SAJUKI AMEFARIKI DUNIA Posted on by Unknown Taarifa zimetufikia kwamba msanii wa filamu Sajuki (Juma Kilowoko) amefariki dunia alfajiri leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
Hakika wewe ni mpiganaji ...mungu akuweke mahali pema peponi
by victor B