CIARA NA FUTURE WAJIRUSHA LOS ANGELES
Mwanamuziki Ciara na rapa Future walionekana wakiwa pamoja katika mji wa Los Angels wakitanua. Wawili hao walifurahia kula chakula cha mchana kwa pamoja.
Kumekuwa na tetesi kuwa Ciara na Future ni wapenzi. Wanaweza kuwa marafiki wazuri kwa kushirikiana kimuziki, Tuanchoweza kufanya ni kujiuliza ni kitu gani mpenzi wa zamani wa Ciara, 50 Cent atasema kuhusu wawili hao kuonekana wakitanua pamoja.