Hatimaye kundi la Destiny's Child limeungana tena baada ya kupotea kwa miaka 8 iliyopita, huku wakiwa ameachia teyari single na kutangaza ujio wa albamu yao mpya
Beyonce ambaye ametangaza ujio wa albamu yao ambayo inatarajiwa kuachiwa Januari 29, huku akiwa na fikra na maamuzi ya kufanya biashara kwa kuwaleta tena wasichana hao karibu Michelle Williams na Kelly Rowland pamoja na yeye