LADY gaga sasa anazidi kupata umaarufu kwa ajili ya shoo zake anazofanya kuwa na vituko . Nyota huyo katika shoo yake ya hivi karibuni aliwaacha mashabiki wakiwa na mshangao baada ya kuinama huku suruali yake ikiwa imeachia nyuma kitendo hiko kilimuonyesha sehemu yake ya nyuma ikiwa wazi
Nyota huyo hakuonekana kujali chochote na zaidi aliendelea kufanya shoo hiyo kitendo ambacho kimeonekana kumuongezea mashabiki na kumsababisha kupendwa na mashabiki wake wengi
may be she is looking for a new bf i think so she is scorning herself