Google PlusRSS FeedEmail

ZOLA D NA P FUNK WAMETOKA NA' KNOCKOUT'



Msanii nyota wa muziki wa Hip Hop Zola D ameachia nyimbo mpya ambao amemshirikisha nyota wa muziki kwa upande wa utengenezaji wa muziki wa bongo fleva P Funk Majani unaoitwa 'Knockout'

Teyari nyimbo hiyo imeshaanza kurushwa hewani katika vipindi mbalimbali vya redio na televisheni hapa nyumbani

Nyimbo hiyo ambayo imerekodiwa katika studio za Bongo Records na video ikiwa imefanywa chini ya kampuni yake ya Uncle Films ikishirikiana na kampuni ya Benjamini wa Mambo Jambo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging