MAMA NZAWISA ATUA AKUDO
Katika jitihada za kuimarisha safu katika bendi ya Akudo Impact imemchukua mnenguaji nyota ambaye ameshawahi kuitumikia bendi ya Msondo Ngoma Mama Nzawisa ili kuboresha safu ya wanenguaji
Meneja Uhusiano wa Bendi hiyo alitoa taarifa hiyo baada ya kuzungumzia mikakati ya bendi hiyo ya kuongeza wanenguaji watano
"Tumeanza na wawili ambao ni Mama Nzawisa na Elizabeth" alisema Pesambili