Mwisho wa wiki hii Nas alijikuta hali ya afya ikiwa tete baada ya kuugua ghafla kizunguzungu, kutapika hali hiyo iliyomsababisha kujikuta akiwekwa mapumziko, lakini hali hiyo sasa imeendelea kuimarika kwa kupata nafuu
Maisha ya Nas kwa wiki hii hayakuwa mazuri, Nyota wa hip-hop alipata matibabu baada ya kuugua kwa 'Vertigo'.
Rapa mwenye umri wa miaka (39) ilibidi afute onyesho lake lililopangwa kufanyika siku siku ya ijumaa na Kelly Michael lakini siku ya ijumaa ilitangazwa kwamba alikuwa hospitali
Kulingana na WebMD, Vertigo ni machafuko ambapo matokeo yake kizunguzungu, huku mMadhara ni pamoja na kichefuchefu na kutapika.
Nyota huyo ambaye kwa sasa amesharuhusiwa hospitali huku hali yake ya kiafya ikiwa imeimarika "Amani kwa wote Mimi ni mzima sasa na nilikuwa nipo mapumziko kwa ajili ya wachache ninaomba msamaha kwa kila mtu, nitaweka vizuri" aliandika Nas kwenye mtandao wa kijamii